31 Aug 2026 1:45 pm | Citizen TV 689 views Duration: 1:28 Mamia ya walimu wa chekechea katika kaunti ya Nyamira wameandamana mjini Nyamira kushinikiza serikali ya kaunti hiyo kutekeleza nyongeza ya mishahara yao kulingana na SRC.