Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa elimu maalum Laikipia wataka mwongozo wa maendeleo ya kitaaluma utekelezwe

  • | Citizen TV
    245 views
    Duration: 1:41
    Waalimu wa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Kaunti ya Laikipia wanataka utekelezwaji wa haraka wa Mwongozo wa Maendeleo ya taaluma yao.