Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa JSS washinikiza kuajiriwa kikamilifu

  • | KBC Video
    104 views
    Duration: 1:52
    Walimu wa shule za sekondari msingi-JSS katika maeneo mbalimbali humu nchini wametoa wito kwa serikali ishughulikie malalamishi yao ya uajiri, wakishinikiza wapewe ajira ya kudumu. Walimu hao leo walishiriki maandamano ya amani huku shule zikifunguliwa kwa muhula wa pili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive