9 Sep 2026 10:33 am | Citizen TV 1,028 views Duration: 1:37 Walimu wanaofundisha wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Elgeyo Marakwet wametishia kutofundisha Januari iwapo serikali haitatekeleza ahadi ilizowapa walipokutana na Rais Ikulu.