8 Sep 2026 10:24 am | Citizen TV 1,183 views Duration: 1:57 Walimu wa mahitaji maalum nchini wametaka serikali itimize ahadi zake, ikiwemo kupandishwa vyeo na kuongezewa mishahara.