Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa Vihiga watangaza makataa ya siku 14 kwa SHA

  • | Citizen TV
    584 views
    Duration: 2:13
    Walimu katika kaunti ya Vihiga wametoa makataa ya siku 14 kwa wizara ya afya na tume ya kuwaajiri walimu (TSC) kutatua changamoto zinazotokana na bima ya afya ya SHA au waanze mgomo. Kupitia kwa muungano wao wa shule za upili na vyuo vya kadri (KUPPET), walimu hao ambao wamezungumza mjini mbale wameelezea kuhangaishwa kila mara wanaposaka huduma za matibabu.