7 Sep 2026 10:33 am | Citizen TV 463 views Duration: 2:07 Walimu wanaofundisha wanafunzi wenye mahitaji maalum wamelalamikia changamoto wanazokabiliana nazo kazini. Wanataka kupandishwa vyeo na kuongezewa mishahara.