Skip to main content
Skip to main content

Walimu waandamana Machakos

  • | Citizen TV
    201 views
    Duration: 1:28
    Walimu wa sekondari msingi wameadamana mjini machakos wakisema serikali imepuuza matakwa yao. Walimu hao chini ya chama cha KUPPET waliotoka maeneo mbalimbali ya kaunti ya Machakos wanasema hawatarejea darasani hadi serikali iwape ajira ya kudumu.