Skip to main content
Skip to main content

Walimu wataka ushauri nasaha kuimarishwa shuleni

  • | Citizen TV
    386 views
    Duration: 3:43
    Wamiliki wa shule binafsi pamoja na viongozi wa shule za umma katika kaunti ya Kajiado wamekutana katika warsha ya siku moja mjini Matasia kajiado kaskazini, kujadili changamoto za afya ya akili miongoni mwa walimu na wanafunzi.