11 Sep 2026 10:21 am | Citizen TV 652 views Duration: 1:36 Walimu wameandamana nje ya ofisi za KNUT Kithimani, Machakos, wakilalamikia kile wanachodai kuwa ni kunyanyaswa na maafisa wa KNUT katika eneo la Yatta.