- 2,390 viewsDuration: 2:31Idadi ya watu waliofariki katika mkasa wa mlipuko wa lori la mafuta eneo la Turbo, Kaunti ya Uasin Gishu, imeongezeka na kufikia watano. Hii ni baada ya mtu mmoja aliyekuwa akipokea matibabu kutokana na majeraha ya moto kufariki. Haya yanajiri huku simanzi ikiendelea kutanda katika vijiji kadhaa vya eneo la Kapkong, kufuatia athari za mkasa huo wa Alhamisi usiku.