Skip to main content
Skip to main content

Walter Kipkoech, anayedaiwa kumuua mwanafunzi wa miaka 17, kuzuiliwa kwa siku 21

  • | NTV Video
    17,510 views
    Duration: 2:03
    Walter Kipkoech, mwanaume mwenye umri wa miaka 23 anayedaiwa kumuua mpenziwe, mwanafunzi wa miaka 17 huko Molo ,kaunti ya Nakuru sasa atazuiliwa kwa siku 21 zaidi huku polisi wakikamilisha uchunguzi wa tukio hilo Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya