Skip to main content
Skip to main content

Wanabodaboda Mwatate kaunti ya Taita Taveta wataka polisi kuimarisha doria baada ya mashambulizi

  • | Citizen TV
    545 views
    Duration: 1:30
    Wahudumu wa bodaboda mjini Mwatate, Taita Taveta, wameitaka polisi kuimarisha doria baada ya baadhi yao kuvamiwa usiku.