10 Sep 2026 1:39 pm | Citizen TV 31,697 views Duration: 1:21 Wanafunzi 36 wa Shule ya Bakisa wameripotiwa kuwa wajawazito, huku mimba za utotoni zikisababisha wasiwasi kuhusu masomo shuleni.