- 1,526 viewsDuration: 3:47Wanafunzi 51 wenye uhitaji kutoka kaunti mbalimbali za Pwani wamepata ufadhili wa masomo utakaowawezesha kusomea taaluma mbalimbali katika mataifa yan nje. ufadhili huo wa shirika la dream team cbo unalenga kukuza elimu pwani.