Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi kutoka familia masikini wakosa sodo Kisii

  • | Citizen TV
    1,558 views
    Duration: 2:04
    Takwimu kutoka idara ya Elimu maeneo ya Nyamache Bobasi kaunti ya Kisii zinaoneha kuwa idadi kubwa ya wasichana wa kati ya umri wa miaka 10-16 wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za ukosefu wa sodo baadhi wakilazimika ata kuacha shule