14 Oct 2026 10:21 am | Citizen TV 220 views Duration: 1:10 Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka Kaunti ya Nyandarua wametamaushwa na ukosefu wa ufadhili wa kutosha wa elimu wakisema wanashindwa hata kugharamia mahitaji mengine ya masomo.