21 Sep 2026 10:53 am | Citizen TV 2,357 views Duration: 2:02 Kundi la vijana wa vyuo vikuu limeongoza shughuli ya kusafisha mito na mazingira katika eneo la Oloolua, huko kajiado kaskazini katika kampeni ya kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa mazingira.