22 Sep 2026 10:30 am | Citizen TV 413 views Duration: 1:35 Wanafunzi wa vyuo vikuu katika eneo la Magharibi wamefanya usafi mjini busia na kuzibua mitaro na mabomba ili kufungua mifumo ya maji taka kabla ya mvua ya el nino.