Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wanaokusudia kujiunga na taaluma ya ualimu wahimizwa kuchagua masomo ya kiufundi

  • | NTV Video
    190 views
    Duration: 1:42
    Wanafunzi waliokamilisha mtihani wa shule za sekondari mwaka jana na wanaokusudia kujiunga na taaluma ya ualimu wamehimizwa kuchagua masomo ya kiufundi na ubunifu ili kuziba uhaba mkubwa wa walimu unaoshuhudiwa katika shule za upili. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya