Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi zaidi ya 120 wapewa ufadhili wa elimu Suna Mashariki

  • | Citizen TV
    538 views
    Duration: 2:02
    Wanafunzi zaidi ya 120 Kutoka katika vitongoji vya wadi ya Oruba Ragana katika kaunti ndogo ya Suna Mashariki wamepata ufadhili wa elimu katika vyuo vya mafunzo anuwai.