- 381 viewsDuration: 1:48Wanaharakati wa haki za binadamu katika Kaunti ya Kwale wameitaka serikali ya kaunti na bunge la kaunti hiyo kushirikiana na mashirika ya kijamii ili kuharakisha kupitishwa kwa sera ya usawa wa kijinsia na ujumuishaji wa kijamii, wakionya kuwa kucheleweshwa kwake kutadhoofisha juhudi za kukabiliana na ukatili wa kijinsia.