Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati Lodwar walalamikia uuzaji wa vileo vilivyopigwa marufuku

  • | Citizen TV
    660 views
    Duration: 2:29
    Wanaharakati mjini Lodwar katika kaunti ya Turkana wanalalamikia uuzaji wa vileo viliyopigwa marufuku na serikali, huku wakisema vijana wengi wanaendelea kuathirika vibaya na pombe hiyo baadhi yao wakipoteza maisha.