Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati watatu kutoka Kaunti ya Tharaka Nithi wameanza safari ya kutembea kuelekea Nairobi

  • | Citizen TV
    415 views
    Duration: 1:40
    Wanaharakati watatu kutoka Kaunti ya Tharaka Nithi John Githome, Frank Kabete na Johnson Gikunda, wameanza safari ya kutembea kuelekea Nairobi wakilenga kuhamasisha uwezeshaji wa mtoto wa kiume, suala ambalo wanasema limepuuzwa katika jamii.