23 Dec 2025 1:20 pm | Citizen TV 1,186 views Duration: 1:48 Mahakama ya Mombasa imewaachilia kwa dhamana wanajeshi saba wa jeshi la wanamaji Na raiya mmoja wanaotuhumiwa kupatikana na kilo 24 za dawa ya kulevya aina ya Methamphetamine zenye thamani ya shilingi milioni 192.