- 2,599 viewsDuration: 2:19Saa chache baada ya Mahakama ya Mazingira na Ardhi mjini Ol Kalou, kaunti ya Nyandarua, kusitisha ukataji miti katika msitu wa Aberdare, utekelezaji wa amri hiyo ulionekana kuendelea mashinani huku lori lililokuwa likisafirisha magogo likinaswa. Wanamazingira wameshangilia uamuzi huo huku wafanyabiashara wa mbao kutoka maeneo ya Mlima Kenya wakielezea wasiwasi wao.