- 880 viewsDuration: 1:10Mbio za Sydney Marathon za Jumapili nchini Australia zitawakutanisha wanariadha wanawake wenye uzoefu, wakiwemo bingwa wa dunia Peres Chepchirchir, Irene Cheptai, Stella Chesang wa Uganda na bingwa wa zamani wa dunia wa mita 5,000, Vivian Cheruiyot.