17 Sep 2026 1:54 pm | Citizen TV 444 views Duration: 1:54 Viongozi kutoka mirengo tofauti ya kisiasa Kaunti ya Narok wamekashifu kwa sauti moja aina za uchochezi kutumia na kupitia vijana katika mitandao na mikutano ya hadhara na baadhi ya wanasiasa.