Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa wa Kenya Kwanza wamtuhumu Uhuru kufadhili upinzani

  • | Citizen TV
    2,604 views
    Duration: 2:39
    Hayo yakijiri, wanasiasa wanaounga mkono serikali wameendelea kumshambulia Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kile wanachodai ni kufadhili kampeni za upinzani. Wakizungumza katika kaunti za Kericho na Kakamega, wanasiasa hao wameendelea kumpigia debe Rais William Ruto, wakisema atarejea Ikulu kwa muhula wa pili katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Bonface Barasa ana taarifa hii kwa kina.