Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa wa serikali watetea mkataba wa G-to-G

  • | Citizen TV
    1,691 views
    Duration: 2:32
    Nao wanasiasa wanaounga mkono serikali wameitetea serikali kuhusu mkataba huo wa G-to-G, wakiwalaumu wenzao wa upinzani kwa kueneza taarifa wanazodai kuwa si za kweli kwa lengo la kuipaka tope serikali. Katika majukwaa tofauti ya kisiasa, wanasiasa hao wameendelea kuwakosoa baadhi ya viongozi wa upinzani kwa madai yao kuhusu mkataba huo.