Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa waingilia uongozi wa chuo cha ufundi katika kaunti ya Kitale

  • | Citizen TV
    502 views
    Duration: 2:09
    Wakazi na wasomi katika Kaunti ya Trans Nzoia waitaka Wizara ya Elimu Kenya kuingilia kati na kuokoa Chuo cha Kitaifa cha Kiufundi cha Kitale dhidi ya wanasiasa na matapeli wanaodaiwa kufadhili vurugu na mgawanyiko chuoni humo kwa manufaa yao binafsi.