16 Sep 2026 10:32 am | Citizen TV 407 views Duration: 1:45 Wanasiasa wametakiwa kuepuka kutumia maneno ya uchochezi na badala yake kuhimiza amani. Viongozi wa dini pia wametoa wito kwa nchi za Afrika Mashariki kuheshimu na kufuata katiba zao.