Skip to main content
Skip to main content

Wanaume washirikishwa kuwasaidia wake zao Kwale

  • | Citizen TV
    401 views
    Duration: 1:50
    Wahudumu wa afya ya uzazi katika Kaunti ya Kwale wamezidisha kampeni ya kuwashirikisha wanaume katika masuala ya afya ya uzazi, kwa lengo la kupunguza vifo vya kina mama wakati wa ujauzito na kujifungua.