18 Sep 2026 2:09 pm | Citizen TV 562 views Duration: 1:49 Vijana, kina mama na walemavu katika kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na tume ya jinsia na usawa nchini wameomba uungwaji mkono katika jitihada za kuwania nyadhifa za uongozi katika eneo hilo.