10 Sep 2026 10:43 am | Citizen TV 480 views Duration: 2:10 Wanawake wa Wajir wametakiwa kupigania nafasi zaidi za uongozi na kujihusisha na juhudi za kutafuta amani katika kaunti hiyo.