Skip to main content
Skip to main content

Wanfunzi wa darasa la 10 washindwa kuripoti shule Nairobi na Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    634 views
    Duration: 3:03
    Huku wanafunzi wa gredi ya kumi wakiendelea kuripoti shuleni, ndoto za mamia ya wanafunzi wengine wanaotoka familia zisizojiweza zimesalia njiapanda. Katika mtaa wa Mukuru kwa Njenga hapa Nairobi, kijana Nicholas Otieno amelazimika kufanya kazi ya kusukuma mikokoteni kuuza maji angalau kuchangisha karo yake. Ni hali sawa na ya binti mmoja Ruth Akiru huko Trans Nzoia ambaye sasa amekosa matumaini ya kuendelea na masomo.