- 451 viewsDuration: 2:56Nao mradi wa nyota umetolewa kwa zaidi ya vijana laki moja kufikia sasa huku wale waliofaidi wakisifia namna mtaji huo umewasaidia kuimarisha na hata kuanzisha biashara zao. Kutoka kaunti ya Kisii hadi Kisumu na hata Garissa, vijana waliopokea mtaji huo wanaelezea walivyofaidi