Skip to main content
Skip to main content

Wapasua mbao wataka wanasiasa kuacha madai kuwa ukataji miti Aberdare ni haramu

  • | Citizen TV
    378 views
    Duration: 1:41
    Muungano wa wapasua mbao eneo la kati, umewataka wanasiasa kukoma kuwachochea wakenya kuwa ukataji miti unaoendelea msituni Aberdare ni kinyume cha sheria. Wakizungumza baada ya kukutana mjini nyeri, wapasua mbao hao kutoka kaunti za Murang’a, Kirinyaga, Laikipia Na Nyeri, wamsema shughuli hiyo ni afueni kwa biashara zao, baada ya kuondolewa kwa marufuku ya ukataji miti ya mwaka 2018.