- 7,897 viewsDuration: 3:33Baada ya miaka mingi ya kutotambuliwa nchini, jamii ya Wapemba wanaoishi katika kaunti za Kilifi, Kwale na Mombasa walipata uraia miaka mitatu iliyopita. Hatua hiyo imebadilisha maisha yao kwa kiasi kikubwa, huku sasa wakiweza kufanya biashara, kusoma na kumiliki mali.