- 1,774 viewsDuration: 10:34Linda Gacheri anafanyakazi pale ambapo wengi wanachukulia kazi hiyo kama mwiko nikimaanisha katika makafani. Ndiye mwenye kuingilia kati wakati jamii zimechanganyikiwa kipindi ambacho mpendwa wao ameaga dunia na mara nyingi familia huwa katika hali ya ukimya. Wakati ambapo mwili huwa unauona lakini nafsi haipo tena. Asha Juma amekutana naye katika kaunti ya Meru na kutuandalia WARIDI WA BBC ifuatayo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw