Skip to main content
Skip to main content

Washikadau Narok waibua hofu kuhusu mimba za utotoni na ukosefu wa data

  • | Citizen TV
    601 views
    Duration: 1:45
    Washikadau katika vita dhidi ya dhuluma za kijinsia Kaunti ya Narok wameibua hofu kuhusu ongezeko la mimba za utotoni na ukosefu wa data kamili itakayotoa mwelekeo wa kukabili changamoto hiyo.