Huku mjadala kuhusu visa vya wanafunzi kuzua vurugu katika shule za bweni ukiendelea kushika kasi, washikadau wa elimu katika Kaunti ya Makueni wameitaka Wizara ya Elimu kushughulikia suala hilo kikamilifu ili kukabiliana na hali ya taharuki na mvutano unaozidi kushuhudiwa katika baadhi ya shule.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya