Skip to main content
Skip to main content

Washikadau wakutana Kilifi kujadili masuala ya baharini

  • | Citizen TV
    296 views
    Duration: 2:13
    Washikadau wa maswala ya baharini wakongamana mjini Kilifi ili kutoa mapendekezo yao kuhusu mpango wa uchumi wa baharini, uhifadhi wa mazingira na kupunguza migogoro mbali mbali ya rasilimali za bahari katika mwambao wa Pwani.