- 364 viewsDuration: 1:19Washindi wengine wanne wa shindano la Shabikia World Cup Kishabiki kwenye jukwaa la Shabiki.com wamejinyakulia jumla ya shilingi milioni 1.2. Boniface Kirema kutoka Meru ameshinda shilingi laki tano, huku Collins Odhiambo wa Siaya, Kenneth Luka wa Kakamega na Mark Kamau wa Thogoto wakijishindia shilingi laki tatu na laki mbili mtawalia. Kampeni hiyo itaendelea katika kipindi chote cha Kombe la Dunia, huku zaidi ya shilingi milioni tisa zikitolewa kama zawadi kwa washiriki watakaobahatika.