Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa 30 wafikishwa mahakamani kwa madai ya ubadhirifu wa sh1.57 bilioni

  • | Citizen TV
    882 views
    Duration: 1:19
    Washukiwa 30, wakiwemo maafisa wa Hazina ya Taifa na wamiliki wa biashara, wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka 121 yanayohusiana na madai ya ubadhirifu na matumizi mabaya ya zaidi ya shilingi bilioni 1.57 za mpango wa PROFIT.