24 Sep 2026 10:15 am | Citizen TV 4,755 views Duration: 1:30 Polisi wamewakamata washukiwa wanane wanaodaiwa kujihusisha na biashara haramu ya vipuri vya simu katika eneo la Kilimani. Washukiwa hao walikamatwa ndani ya nyumba baada ya polisi kulazimika kuvunja lango la kuingia.