- 1,076 viewsDuration: 2:42Washukiwa 9 wakiwemo wahasibu wakuu wa hazina kuu ya kitaifa wanaohusishwa na madai ya ufisadi wa mradi wa shilingi bilioni 1.7 wamefikishwa mahakamani ambako wameachiliwa kwa dhamana. Washukiwa hao waliokamatwa hapo jana wamehusishwa na ufisadi kwenye mradi wa uvumbuzi wa miradi ya uchumi mashinani. Aidha, washukiwa wengine 11 wametakiwa kujisalimisha mbele ya tume ya ufisadi baada ya kukosa kufika kotini