15 Oct 2026 10:44 am | Citizen TV 3,659 views Duration: 1:25 Polisi mjini Limuru,kaunti ya Kiambu, wamewakamata washukiwa saba wanaohusishwa na visa vya ubakaji katika mashamba ya majani chai ya Braxton.