27 Aug 2026 1:12 pm | Citizen TV 1,717 views Duration: 46s Washukiwa wanne wa mauaji ya daktari Victoria Mutiso, Rose Mbithe, wanawe Chris Mulwa, Angela Mulwa na afisa wa polisi Elijah Kibelion Kimoi watasalia rumande hadi septemba 23 wanapotarajiwa kujibu shtaka la mauaji .