- 828 viewsDuration: 1:14Washukiwa wanne wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso — Rose Mbithe, wanawe Chris Mulwa na Angela Mulwa, pamoja na afisa wa polisi Elijah Kibelion Kimoi — watasalia rumande hadi Septemba 23, wanapotazamiwa kujibu shtaka la mauaji.